MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI (MUHAS) ULIOFANYIKA TAREHE 18/10/2024
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...